Furaha ya kupokea bajaji ya Meridianbet imemfanya alie.

0
35

Ni kijana wa kitanzania ambaye ni mzaliwa na mkazi wa Handeni Tanga Didas Shauri Yeremia maarufu kwa jina la Viktoria, alishindwa kujizuia furaha yake aliyokuwa nayo baada ya kufika Makao Makuu ya Meridianbet.

Mfalme wa kubeti kwa kitochi, ambaye pia ni mshindi wa promosheni kubwa ya SHINDA BAJAJI, iliyokuwa ikichezeshwa kwa muda na hatimaye BINGWA alipatikana na kukabidhiwa bajaji yake mpyaa kabisa.

Nini Kilimfanya Afurahi mpaka Kulia

Alipoulizwa ni kitu gani kilimsibu Didas alisema kuwa mwanzoni alihisi ni matapeli na hivyo hakuwa akiamini kama ni kweli.

“Kwakweli nashindwa niseme nini ila mwanzoni nilijua kuwa ni matapeli tu, mpaka pale nilipomtuma ndugu yangu kwanza kuhakikisha na kugundua kuwa ni kweli mimi ndio mshindi wah ii bajaji”-Didas A.K.A Viktoria.

 

Ni wapi Alipata Taarifa?

 “Nilipokea meseji kwenye simu yangu kuhusu Promosheni hii mpya kuwa imeanza, nami sikuwahi kubeti ila nikasema ngoja nijaribu bahati yangu, na kweli siku nikiwa nipo kwenye shughuli zangu za kila siku nikapigiwa simu kuwa mie ndiyo mshindi. Nilifurahi sana”

Ataitumiaje hii bajaji?

“Mimi nafanya shughuli za kilimo, kupitia bajaji hii itanifanya kuongeza kipato changu cha kila siku na kurahisha Maisha yangu”

Neno lake kwa wengine wasioamini Promosheni za Meridianbet.

“Napenda kuwasihi watanzania kuendelea kubashiri na kuichagua Meridianbet katika michezo ya kubashir kwani wana huduma nzuri za uhakia na ukweli wala hawana rongorongo” -Didas

 Hii hapa nyingine usikubali ikupite, mwezi Disemba ni mwezi wa kufurahi, hivyo kuifanya siku yako iende poa, Meridianbet wanakuletea promosheni ya SAKA MBUZI NA KITOCHI, ukibeti bila bando kwa dau la kuanzia TZS 1,000/= Promosheni hii itadumu kwa mwezi huu wa Disemba tu. Piga *149*10# kubeti sasa.

 

 

Send this to a friend