Fursa za ufadhili wa masomo nchini Israel

0
87

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo kutoka Serikali ya Israel kupitia Chuo cha Hebrew cha Yerusalem (Hebrew University of Jerusalem –HUJI) katika mwaka wa masomo 2023/2024.

Ufadhili huo umetolewa katika fani mbalimbali zikiwemo afya, sayansi, sayansi ya jamii, sheria, kilimo na mifugo.