Geita: Wapiga simu Zimamoto kuwasalimia askari

0
45

Wakazi wa Mkoa wa Geita wamekuwa na tabia ya kutumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao.

Vioja: Wavunja duka na kuiba viatu 200 vyote vya mguu mmoja

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, Mrakibu Hamisi Dawa wakati amesema hali hiyo imekuwa ikizuia wananchi wengine wenye matukio ya moto kushindwa kupata msaada.

Kamanda Dawa amewataka wananchi wanaotaka kuwasalimia Askari wa jeshi hilo kufika ofisini badala ya kupiga simu.

Send this to a friend