Gwajima: Tanzania haiwezi kuwa jaribio la chanjo ya Corona

0
50

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ameitaka serikali kujiridhisha na usalama wa chanjo za COVID19 kabla ya kuanza kutumiwa na Watanzania.

Gwajima amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati akichangia sekta ya afya na kufafanua kuwa Tanzania haiwezi kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo.

Send this to a friend