Habari ya Mjini ni Odds Bomba za Meridianbet

0
38

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi.

Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto wa Liverpool pale Anfield mashabiki wakiimbia ‘You will Never Walk Alone’ ni wimbo unaowapa nguvu wachezaji wao, basi huo wimbo utasikika kwenye mechi kati ya Liverpool vs Chelsea, kuipa nguvu mechi hii Meridianbet wameweka Odds Bomba kwa kila timu, Bonyeza hapa kuona.

EPL itachezwa michezo mingine siku ya Jumamosi ni Leicester City vs Brighton (Odds zao LEI 3.33 vs BRI 2.11), huku pia Southampton watakuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Aston Villa (Odds Bomba Soton 2.79 vs Villa 2.50 Ushindi kwa wote). Haitaishia hapo kuna West Ham vs Everton, Crystal Palace kutoka kwenye hekalu ya kifalme watakuwa wenyeji wa Newcastle wenye msimu mzuri wakiwa nafasi 4 kwenye msimamo wa Epl.

Wakati LaLiga ikiwa imefika patamu ni mechi nyingine tena kali Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Valladolid, Sevilla kukipiga na Cardiz huku pia Vallecano itacheza na Real Sociedad zote zina Odds bomba kubwa na machaguo kibao.

Jumapili bomba kabisa hii ni siku nzuri ya kutengeneza mkwanja kwa kuchagua odds bomba za Meridianbet, mechi ni nyingi sana na zote ni kali usikose kubashiri na Meridianbet wikiendi hii kwani ushindi upo kiganjani mwako.

Man City wataingia kwenye mechi hii dhidi ya Wolves katika dimba la Ethihad, wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tottebhan bao 4-2 huku Mahrez akizama kambani mara mbili, Julian Alvarez na Halaand pia waliisadia City kushinda. Je City kuondoka na alama zote 3 mbele ya Wolves? weka majibu yako ya utabiri kwenye mkeka wako wa Meridianbet chimbo la odds bomba.

Mechi kubwa ni vinara wa ligi kwa sasa Arsenal watakutana na Man Utd kwenye dimba la Emirates ushindi kwa washika mtutu una odds ya 1.86 huku Utd ana 3.92

 Wakiwa ndio vinara wa Ligi kwa sasa vijana wa Xavi FC Barcelona watashuka kwenye dimba la Nou Camp kukipiga na Getafe huku wapinzani wao wa muda mrefu Real Madrid watakuwa ugenini dhidi ya Athletic Club.

Bundesliga mziki wake si unaujua huhitaji kusimuliwa sana sasa sikia, Dortmund huwa anakaza sana watakutana na Augsburg, na Borussia Monchengladbach atakipiga na Bayer Leverkusen odds bomba na kubwa zipo kwaajili yako.

Juventus ana mziki mwingine wa kuhakikisha anaondoka na alama 3 akiwa nyumbani kwake kucheza dhidi ya Atalanta, (Odds bomba kwa Juve ushindi ni 2.11 na Atalanta ni 3.43) pia Spezia watawakaribisha vijana wa Jose Mourinho AC Roma. Bashiri mubashara na Meridianbet.

  

N.B Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni, michezo kama Aviator, TiTAN Dice, Roulette, Fruit Parts, Poker na Mingine mingi. Kingine kikubwa Ukipakua APP ya Meridianbet kisha ukajiunga kwenye APP na Tovuti kisha ukaweka salio unapewa Bonasi ya Ukaribisho. Upewe nini kingine, Jiunge na Meridianbet Ushindi Kiganjani mwako.

Send this to a friend