Haniu ateuliwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais

0
72

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu).

Kabla ya uteuzi alikuwa Mtendaji Mkuu wa vyombo vya habari vya Africa Media Group Limited.

Haniu anachukua nafasi ya Gerson Msigwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Uteuzi huo umeanza leo Juni 9, 2021

Send this to a friend