Hawa ndio wakuu wa mikoa 9 walioachwa

0
44

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa mikoa na kubadili vituo vya baadhi ya viongozi hao.

Taarifa ya mabadiliko hayo imeonesha kuwa wakuu wa miko tisa wameachwa na amewahamisha vituo vya kazi wakuu wa mikoa saba, huku na wengine wakisalia kwenye vituo vyao vya kazi.

Hii ni orodha ya wakuu wa mikoa wawalioachwa katika mabadiliko hayo;

1. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa- Joseph J. Mkirikiti

2. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza -Robert Gabriel Luhumbi

3. Mkuu wa Mkoa wa Mara – Ally Salum Hapi

4. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro- Stephen Kagaigai

Rais Samia ateua wakuu wapya wa mikoa

5. Mkuu wa Mkoa wa Kagera -Meja Jenerali Charles M. Mbuge

6. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu- David Zacharia Kafulila

7. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara- Brigedia Jenerali Marco E. Kaguti

8. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma- Bregedia Jenerali Wilbert Augustine Ibuge

9. Mkuu wa Mkoa wa Singida- Binilith Saatano Mahenge

Send this to a friend