Historia fupi ya maisha ya Rais Vladimir Putin

0
97

Rais wa Russia, Vladimir Putin ameendelea kugonga vichwa vya habari dunia kutokana na kuivamia Ukraine na kupelekea vita ambavyo vimesababisha baadhi ya watu kuyakimbia makazi yao, huku wengine wakifariki, na mali mbalimbali kuharibiwa.

Lakini, Putin ni nani? Na alifikaje kwenye kiti hicho cha Urais kuongoza moja ya mataifa makubwa zaidi dunia?

Hapa chini ni historia fupi ya kiongozi huyo;

Send this to a friend