Huu ndio utaratibu wa CCM kuteua Wabunge mwaka huu

0
46

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza utaratibu utakaotumika kuteua wagombea wa nafasi za ubunge, udiwani na uwakilishi ambapo zoezi la kuchukua fomu linaanza Julai 14 mwaka huu.

Hapa chini ni ratiba ya mchakato kamili wa zoezi hilo.

Send this to a friend