Ihefu kuvaana na Namungo Ligi Kuu Bara

0
37

Mzunguko wa pili wa ligi ya NBC rasmi kuanza leo ambapo utawakutanisha Ihefu FC na Namungo FC katika uwanja wa Uhuru majira saa 10:00 jioni hii ni baada ya mzunguko wa kwanza kumalizika Agosti 17 kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti.

Farouk Ramadhan ambaye ni kocha wa Namungo FC amesema kuwa wako vizuri kuwakabili wapinzani wao, huku akikiri kuwa mchezo wa kwanza ulikuwa mgumu kwa sababu ndio mchezo wao wa kwanza wa ligi lakini kwa mchezo huu wa pili makosa yaliyotokea yamerekebishwa na ana imani wachezaji watarudisha furaha kwa mashabiki wao.

Mchezo wa kwanza Namungo walikutana na Mtibwa Sugar katika uwanja wa Benjamini Mkapa mchezo ikimalizika bila mbabe kwa goli 2-2.

Katika msimamo wa ligi hadi hivi sasa Klabu ya Simba ndiyo timu uliyoko kileleni ikifuatiwa na Mbeya City na Klabu ya Yanga, tofauti ambazo ziko katika magoli, huku Geita Gold na Dodoma Jiji wao wakiburuza mkia

Uzuri ni kwamba kwa upande wa kubashiri Sokabet ndio kampuni pekee inayokupa nafasi kuweka bashiri zako na kuondoka na ushindi mkubwa zaidi ya kampuni nyingine hii ni kutokana na bonasi nyingi kutolewa kwa wateja wake bonasi hizi ni kama Multibeti bonasi ambapo ukibashiri kwa kuweka mikeka mitatu yenye timu kuanzia 5 unapata mkeka mmoja wa bure.

Mbali na hapo kupitia Sokabet unaweza bashiri michezo kama Casino, mpira wa miguu, basket ball, virtual games na michezo mingine mingi kuanzia dau la shilingi 100 ya kitanzania.

Tembelea tovuti ya sokabet au piga *149*35# kunufaika na bashiri zako kupitia kampuni ya Sokabet the best in Sports betting Tanzania.