Isome hapa hati ya mashitaka yanayomkabili Paul Makonda

1
96

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka pamoja na kuvamia ofisi za Cloouds Media Group.

Taarifa hiyo iliandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la Novemba 15, 2021, ambapo ilieleza kwamba, maombi ya kumfungulia kesi Paul Makonda, yamepelekwa na Mwanasheria wa kujitegemea ambaye jina lake halijawekwa wazi.

Raia Mwema lilieleza kwamba katika Mwanasheria huyo ameomba kibali cha Mahakama kumshitaki Makonda kutokana na makosa anayodaiwa kuyatenda wakati akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Hapa chini ni hati ya mashitaka yanayomkabili Paul Makonda, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Mkosa ya Jinai (DCI) na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP).

[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/Saed-Kubenea..pdf” title=”Saed Kubenea.”]

Send this to a friend