KAMATA MECHI ZA UCL ZENYE ODDS KUBWA KUTOKA MERIDIANBET

0
42

Usiku wa deni hakawii kukucha, yes ukisema hivyo utakuwa hujakosea kabisa ni usiku wa deni kwenye Ligi ya Mabingwa wiki hii, ni mechi za marudiano kutafuta kufuzu hatua ya robo fainali.

 

Mbungi litaanza usiku wa Jumanne ambapo macho ya wengi yatakuwa kwenye runinga, ni pale ambapo AC Milan watakapo wakaribisha Chelsea kutoka London, kwenye dimba la San Siro. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Chelsea kwa Odds ya 2.35

 

Man City wakiwa na Top Scorer wa UCL kwa sasa Erling Haaland akiwa na magoli matano, wamesafiri mpaka nchi ya Denmark kukipiga na Copenhagen ambao wametoka kupigwa bao 5-0 kwenye dimba la Ettihad. Unadhani City wataendeleza moto wao, weka ubashiri wako.

 

Mechi nyingine zenye Odds kubwa na za kijanja kutoka Meridianbet, ni Maccabi Haifa watakipiga dhidi ya Juventus, huku kina Mbappe, Neymar na Messi wenye PSG yao watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Benfica, kwa upande mwingine wakali wa Bundesliga Dortumund watakichafua na Sevilla. Mechi ya kufunga siku ni ile ya Mabingwa wa UCL watakaposhuka dimbani wakiwa ugenini dhidi ya Shakhtar. Meridianbet wamejipanga kukupatia hela, tandika jamvi lako.

 

Usiku wa Jumatano, ni mtoto hatumwi dukani pale ambapo Barcelona watakaposhuka uwanja wa Camp Nou watakipiga dhidi ya Inter Milan ambao waliwakalisha Barca kwenye mechi ya kwanza kwa bao 1-0. Weka ubashiri wako ukiwa na Meridianbet.

 

Napoli watakuwa nyumbani wakati ambao Ajax watakuwa na kibarua cha kujibu zile goli 6 walizofungwa kwenye mchezo wa kwanza wakiwa kwao. Meridianbet wamempa Ajax Odds kubwa ya 4.90. Unaweza kubashiri mechi kupitia USSD kwa kupiga *149*10# huhitaji kuwa na bando.

 

Vijana wa Klopp baada ya ushindi wa mabao 2-0 pale Anfield watakuwa kibaruani kujibu mapigo ya Rangers ambao wapo nyumbani na wao watakuwa na uhitaji wa alama 3 ili kujihakikishia nafasi ya kutinga robo fainali. Kuwa mshindi wa leo kwa kushusha ubashiri wako ukitumia Meridianbet.

 

Bayern Munich watarejea kwenye UCL wakiwa na kumbukumbu ya ushindi mnono wa mabao 5-0 walioupata kwenye dimba lao la Allienz Arena. Viktoria Plzen watawakaribisha Bayern kwenye mchezo wa marudiano. Meridianbet wameweka Odds Kubwa kwenye mechi hii.

 

Wiki ya Mabingwa itakamilika kwa michezo mingine kama Tottenham watakuwa wenyeji wa Frankfurt, wakati Leverkusen watawaalika Porto ya Ureno, huku Sporting CP watakipiga na Marseille na Atletico Madrid watakuwa nyumbani kucheza na Club Brugge. Bashiri na Meridianbet

Huna Smartphone au unataka kubet na hauna bando..? Usiwaze Meridianbet wamesikia kilio chako, sasa unaweza kubashiri kwa kutumia USSD kwa kupiga *149*10# kisha utandike jamvi lako kirahisi.

 

FACEBOOK & IG

 

Text:

Wiki hii UCL Inaendelea tena kwa mechi nyingi, wakati unaenda kuliangalia chama lako, hakikisha umetandika jamvi lako lenye ODDS Kubwa za ushindi ukiwa na Meridianbet kwa kupiga *149*10# au kupitia tovuti https://app.mrdn.co/bashiri01 ili kuweka ubashiri wako sasa! #bashirinamabingwa #meridianbettz  #ucl #uefa

TWITTER

Text:

Wiki hii UCL Inaendelea tena kwa mechi nyingi, wakati unaenda kuliangalia chama lako, hakikisha umetandika jamvi lako lenye ODDS Kubwa za ushindi ukiwa na Meridianbet kwa kupiga *149*10# au kupitia tovuti https://app.mrdn.co/bashiri01 ili kuweka ubashiri wako sasa! #bashirinamabingwa #meridianbettz  #ucl #uefa

 

Send this to a friend