Kamata Mpunga wa TZS 350,000,000 kutoka Meridianbet na Wazdan

0
41

Haijawahi kuwa ya kuvutia kiasi hiki, zawadi za jumla ya TZS 350,000,000 kushindaniwa kwenye michezo ya sloti inayotolewa na Wazdan katika chimbo lako pendwa la kasino Meridianbet Tanzania, unashiriki ukiwa na nafasi ya kujishindia mgao wako katika zawadi nono zinazotolewa, Kupaswi kukosa hii ni kubwa sana inaweza kubadili kila kitu leo.

Kamata mpunga wa TZS 350,000,000 itagawanywa katika visanduku vya siri 300 ili kutoa nafasi ya kila mshiriki kushinda kwenye kila shindano ndani ya promosheni.

Jinsi ya Kushiriki na Sheria za Mystery Drops Promosheni:

Promosheni ya Mystery Drop itadumu kuanzia February 20, 2022. saa 09:00 CET mpaka 05.03.2022. saa 23:59 CET.

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano madogo madogo na kushirikisha michezo yote ya sloti inayotolewa na Wazdan.

Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali katika kipindi cha shindano. Ikiwemo kujishindia zawadi kwenye kila shindano kwenye promosheni.

Kila dau utakaloweka litafungua zawadi moja na zawadi zitagawiwa bila mpangilio(yeyote anaweza kujishindia) katika kipindi cha promosheni.

Cha kuvutia zaidi ni kuwa hakuna kiwango cha chini kilichowekwa kwaajili ya kushiriki promosheni hii dau lolote linaweza kukufanya ukawa mshindi. Wachezaji wote wanaruhusiwa kushiriki katika promosheni hii.

Washindi wa zawadi watalipwa papo hapo baada ya kupokea ujumbe wa ushindi.

Zawadi ya TZS 350,000,000 imegawanywa katika masanduku 300 ya siri. Kila kisanduku cha siri kinaweza kulipa moja ya zawadi kutoka kwenye orodha hii:

1,250,000 TZS

1,000,000 TZS

750,000 TZS

125,000 TZS

62,500 TZS

25,000 TZS

Zawadi za pesa halisi zitakazotolewa hazina masharti yoyote.

Zawadi zitakazotolewa zitakuwa sawa sawa na sarafu ya ndani.

Meridian ina haki ya kubatilisha matokeo na kutolipa zawadi yoyote zinazotokana na changamoto zinazosababisha sehemu au kwa ujumla kutokana na kosa lililoonekana, tatizo la kiufundi au kuharibika kwa mchezo, bila kujali kama kosa, tatizo au kuharibika ni matokeo ya makosa ya kibinadamu, mitambo au programu, pamoja na kesi za udanganyifu au kushirikiana kwa wachezaji wengi.

Meridianbet wana haki ya kusitisha promosheni hii wakati wowote.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

Send this to a friend