Kamata ODDS Bomba za Nusu Fainali WC 2022?

0
39

Michuano ya kombe la dunia imefikia patamu sana, hatua ya Nusu Fainali timu zilikuwa 32 na hatimaye sasa zimesalia timu 4, mbili zikitoka bara la Ulaya, moja Amerika Kusini na Moja ni kutoka Afrika. Argentina vs Croatia, Morocco vs Ufaransa. Mchanganuo wa ODDS kubwa na bomba Meridianbet upo kama ifuatavyo.

Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi hizi.

 ARGENTINA V/S CROATIA- 13 Disemba 2022

 Kiwango cha ushindi: Argentina ashinde kwa tofauti ya goli 1 =3.55, Croatia 6.20, Croatia ashinde kwa tofauti ya goli 2=15, Argentina 5.60, Sare ina ODDS ya 3.40

 Mfungaji wa muda wowote: Messi 2.12, Modric 7.58, Molina Nahuel 13.64, Bruno Petkovic 5.42

 Mfungaji wa Kwanza: Lionel Messi 4.10, Luke Modric 18, Nikola Vlasic 17, Nahuel Molina 30, Mateo Kovacic 35

 Njia ya Ushindi: Croatia ashinde muda wa kawaida 4.20, kwa penati 11, Argentina ashinde kwenye penati 11, muda wa kawaida 1.76, muda wa nyongeza 9.00, Croatia ana Odds ya 19

 Idadi ya kadi: Argentina apate chini ya kadi 2=2.55, kadi 2=3.00, kadi 3=4.10, kadi 4+ 5.40 kumbuka mechi iliyopita ya robo fainali alipata kadi za njano 9, kwenye nusu fainali dhidi ya Croatia lolote linaweza kutokea. Bonyeza hapa kubeti.

 Idadi ya jumla ya kadi kwa timu zote: chini ya kadi 4=268, kadi 4=3.98, kadi 5=4.22 au ukiona mechi imekuwa ya nguvu sana weka idadi ya kadi 10 unapata odds 30, hizi odds kubwa na bomba unazipata kwenye machaguo spesho ya meridianbet.

 UFARANSA V/S MOROCCO 14 Disemba 2022

 Kufuzu Fainali: Ufaransa ana odds ya 1.25, Morocco ana 4.20

 Goli la Mwisho: Ufaransa afunge goli la mwisho kwenye mechi 1.48, Morocco awe wa mwisho kufunga goli 3.60

 Kiwango cha ushindi: Ufaransa ashinde kwa toafauti ya goli 1=1.50, goli 2=4.70, goli 3=5.60 kwa upande wa Morocco, ashinde kwa toafauti ya goli moja= 8.20, goli mbili kamili=23. Kwenye mechi hii ushindi wa mabao yeyote unawezekana, kwa timu kama Ufaransa yenye Mbappe, Giroud, Dembele au Morocco yenye Hakim Ziyech, Sofiane, Achraf Hakim inakosaje mabao mechi hii. Bofya hapa kubashiri sasa.

Mfungaji wa muda wowote: Olivier Giroud ana odds ya 2.71, Sofiane Boufal 7.33, Rabiot Adrien 7.51, HakimZiyech 6.95, Tchouameni Aurelien 8.65, Mbappe 2.21

Njia ya Ushindi: Ufaransa ashinde goli moja tu baada ya muda wa kawaida ana odds ya 1.50, goli 2 kwa Morocco=6.20, Goli moja baada ya muda wa nyongeza 8.20, goli moja la penati ina 13. Morocco ashinde bao 2 baada ya penati 13. Bonyeza hapa kuona na kubashiri.

 

Pia Meridianbet wana kasino mtandaoni ambayo ina michezo mingi sana, kama vile AVIATOR, TITAN DICE, TITAN ROULETTE na mingine mingi. Kushiriki mchezoni ni rahisi sana.

 

CHEZA HAPA

Send this to a friend