Kamati yaundwa kuratibu mdundo wa Kitanzania

0
50

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameteua kamati maalum kwa ajili ya kuratibu mdundo wenye asili ya Kitanzania.

Majina ya Wajumbe wa kamati hiyo ni:
1. Mwenyekiti – Dkt. Kedmon Mapana, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
2. Katibu Mkuu – Dkt. Herbert Makoye, Mkuu wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo.

Wajumbe;
1. John Dilunga Matlou (DJ JD) – Mtaalam wa kuchezesha muziki
2. Fatuma Hassan (DJ. Fetty) – Mtaalam wa kuchezesha muziki
3. Paul Mattysse (P. Funky) – Mtayarishaji wa muziki
4. Joachim Kimario (Master J) – Mtayarishaji wa muziki
5. Humphrey Domboka -Mtayarishaji wa muziki (Wanene Studio)
6. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) – Msanii wa muziki
7. Aron Mikomangwa – Chifu wa Mwanza, Mzoefu midundo ya asili
8. Abdallah Othman Abdallah – Mkuu wa kikundi cha ngoma cha Taifa, Zanzibar
9. Masoud Masoud – Mtangazaji nguli wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Send this to a friend