Kampuni ya New Habari yatangaza kusitisha kuzalisha magazeti

0
44

Kampuni ya New Habari 2006 Ltd imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti kuanzia Jumatatu Disemba 7, 2020.

Kampuni hiyo inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imesema uamuzi huo umetokana na mwenendo mbaya wa biashara

Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema hayo wakati akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Send this to a friend