Kasino ya Mtandaoni Meridianbet Inalipa Zaidi

0
39

Sloti ya Blackjack Live

Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/ mchezo wa karata ni sloti yenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8.

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 papo hapo ya dau uliloliweka.

Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.

Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karata zako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi 21.

Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Blackjack Live.

NB: Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 bure ya kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, jisajili sasa.

 

Send this to a friend