Kinana amuomba radhi Rais Magufuli

0
38

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amemuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli.

Kinana amechukua hatua hiyo kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli.

https://mobile.twitter.com/swahilitimes/status/1268567815726006278
Send this to a friend