Kuelekea Juni 1: Picha toka maeneo mbalimbali nchini kujiandaa kuachana na mifuko ya plastiki

0
37

Hizi ni picha toka maeneo mbalimbali nchini toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano & Mazingira January Makamba (Mb), kuonyesha namna ambavyo maeneo mbalimbali nchini yanajiandaa kuelekea tarehe rasmi (Juni 1, 2019) ya kuacha kutumia mifuko ya plastiki na kuanza kutumia mifuko mbadala, ikiwa ni moja ya hatua kubwa nchini katika kupambana na uchafuzi wa mazingira nchi kavu na baharini.



Send this to a friend