Ligi imechanganya, Mechi kali za funga mwaka 2022 zenye Odds kubwa na Machaguo Kibao Meridianbet

0
41

Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbet wameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahau machaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka 2023.

 Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet?

Ni rahisi sana wala usisumbuke kuumiza kichwa chako, ukiichagua Meridianbet ni umechagua ushindi tu, kwanini nakwambia hivyo ni kwa sababu kila mechi kuna ODDS kubwa sana na machaguo ni mengi na rahisi Zaidi yenye uhakika wa kukupa ushindi kwenye mkeka wako.

Leo Ijumaa pale EPL kitapigwa mechi mbili ni Liverpool vs Leicester ambapo kila timu inazitaka alama tatu, nani kung’ara leo, Nunez, Salah, Trent ama Jamie Vardy, Kelechi Iheanacho au ni Denis Prayet? Bashiri Meridianbet ufunge mwaka kibabe. Pia West Ham watawakaribisha wazee wa nyuki Brentford 2.06 kwa West Ham ashinde huku 3.57 kwa Brentford ashinde.

Real Valladolid hawatakuwa na kazi ndogo leo watakapokuwa wanakipiga dhidi ya Real Madrid ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo na alama 35 nyuma ya Barcelona watahitaji kushinda ili waongoze Ligi je itawezekana? Beti bila bando Piga *149*10#

Wikiendi yako huenda ikawa poa sana wakati ukilishuhudia chama lako likitoa burudani ndani ya uwanja, lakini ili buruadani yako ikamilike unahitaji kuwa sehemu ya familia ya Meridianbet ambao wamekuwekea odds za kutosha kwenye mechi zote. Manchester United atakuwa ugenini kukipiga na Wolves wakati huo Fulham watakiwasha na Southampton na Bourmouth ni watapelekeana moto na Crystal Palace usikose hii Newcastle vs Leeds United.

Pep Guardiola ana kazi ya kufanya Jumamosi hii kaachwa pointi 5 na Arsenal hivyo Manchester City watahitaji kushinda dhidi ya Everton ili kupunguza pointi walizozidiwa na vinara wa Ligi, wakati wakiwaza hilo vinara wa Ligi Arsenal watashuka dimbani kukabiliana na Brighton nao watahitaji ushindi ili kujihakikishia nafasi ya ubingwa.

Kule Laliga Barcelona vinara waLigi watakuwa na pambano jingine uwanja wa Spotify Nou Camp dhidi ya Espanyol hii ni dabi ya Barcelona wenyewe wanaita The Derbi Barceloní

Mechi hii inaweza kutimiza ndoto yako kablam waka 2022 haujaisha, Beti na Meridianbet.

Unaufunguaje Mwaka 2023?

Ni Jumapili ya kwanza mwaka 2023, ni mwaka mpya huja na mambo mapya pia, unajiuliza utauanzaje mwaka 2023? Usiwaze tembelea Meridianbet ujionee ODDS zilivyo kubwa machaguo yameongezwa yote ni kukupa nafasi ya kufurahia mwaka mpya. Kupitia mechi hizi unaweza kuibuka Tajiri na ndoto zako kukamilika mapema sana.

Chelsea watasafiri kutoka London hadi West Bridgford, Nottinghamshire kwenye uwanja wa City Ground kukipiga na Nottingham Forest. Tottenham watakipiga na Aston Villa hii nayo inakupatia odds bomba na kubwa Zaidi.

Ligue 1 ya Ufaransa utaishuhudia PSG wakimenyana na Lens, Monaco na Brest huku ukikamilisha ubashiri wako na mechi kati ya Lyon vs Clermont. Meridianbet ni wakongwe wa hizi kazi onesha umwamba wako ujishindie mkwanja mrefu. Bashiri na Meridianbet.

Send this to a friend