LIGI YA MABINGWA ULAYA MERIDIANBET WAMEKUWEKEA ODDS KUBWA

0
49

Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto unaendelea tena wiki hii, ni Ligi ya Mabingwa Ulaya moto ni mkali kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwenzake, Na wewe una nafasi ya kuonesha ubabe wako kwa kuweka ubashiri kwenye mechi hizi kupitia Meridianbet. 

Mtoto hatumwi dukani, ni mapema tu moto utawka kwenye dimba la Allianz Arena, Bayern Munich watakipiga dhidi ya Viktoria Plzen, unadhani Bayern ataweza kuendeleza moto wake tena baada ya kumtandika Barcelona bao 2-0? Usichelewe Meridianbet wanamzigo wako.

Vijana wa Klopp Liverpool watarudi uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Ajax, kwenye dimba la Anfield moto utawaka dhidi yao na Rangers waliotoka kupoteza mchezo wao na Napoli kwenye kundi. Rangers amepewa Odds ya 16.66 ashinde gemu.

Inter Milan watakipiga dhidi Barcelona kwenye uwanja wa San SIro, wote wana alama 3 chini ya Bayern mwenye alama 6, na kila mmoja anataka kuongoza kundi. Meridian wanampa nafasi kubwa ya ushindi Barca na Inter kapewa Odds ya 4.11

Mchezo mwingine wenye kuvuta hisia za watu wengi ni Ajax dhidi ya Napoli, hisia zako za utabiri utaziweka kwa nani kati ya miamba hii ya soka itakapokuwa uwanjani kupambania ushindi.

Jumatano sasa, ndiyo usipime katika dimba la Stamford Bridge nyazi za uwanja huo zitachomoka pale ambapo Chelsea wakimenyana na AC Milan aliyetoka kumchakaza Dinamo Zagreb bao 3-1, Je Milan ataendelea ubabe wake mpaka kwa Chelsea? Bashiri na Meridianbet.

Mbappe, Neymar na Messi baada ya majukumu kwenye timu zao za taifa sasa watakuwa na kazi nyingine ya kuwapa furaha mashabiki wa PSG watakapokuwa ugenini kukipiga dhidi ya Benfica aliyetoka kumtandika Juventus nyumbani kwake kwa bao 2-1. Benfica amepewa Odds ya 4.11 unasubiri nini mtu wangu wa nguvu, tandika jamvi lako.

Ni Haaland na Forden kuwapa ushindi tena Man City? atakuwa kwenye dimba la Ettihad kukipiga  na Copenhagen. Man City ataingia akiwa na furaha ya ushindi wa bao 6-3 dhidi ya mahasimu wao Manchester United. Meridianbet wana mzigo wako hapa.

Wakali wa Hispania na Mabingwa watetezi wa UCL Real Madrid watawakaribisha Shakhtar Donetsk nao Sevilla atakipiga dhidi ya Dortmund huku Juventus atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Maccabi Haifa. Hela yako itakupatia faida ukibashiri na Meridianbet

RB Leipzig atakuwa na kibarua dhidi ya Celtic huku ndugu yake RB Salzburg watakipiga na Dinamo Zagreb. Mechi hizi zimepewa ODDS kubwa, tandika jamvi lako.

Pia, mbali na ubashiri wa Michezo una nafasi ya kushinda zaidi kwenye michezo ya kasino, furahia michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kujiweka kwenye nafasi bora ya kushinda kasino jackpoti.

Send this to a friend