Mabilionea 10 wenye umri mdogo zaidi Afrika

0
77

Mabilionea barani Afrika wamekuwa kichocheo cha ukuaji wa uchumi na maendeleo katika bara hilo. Wanaleta motisha kwa wengine wakiwemo vijana ambao wana ndoto za kufanikiwa na kuwa sehemu ya orodha ya matajiri.

Hata hivyo, mabilionea vijana barani Afrika ni wachache sana. Wengi wa watu wenye utajiri mkubwa katika bara hili wako katika umri wa kati au wako katika umri mkubwa, na hivyo kuacha pengo kubwa la kiumri kati yao na vijana.

Katika orodha hii iliyoandaliwa kwa hisani ya Jarida la Forbes, bilionea mdogo zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na umri wa miaka 48.

Hii ni orodha ya mabilionea 10 kutoka Afrika wenye umri mdogo zaidi;