Maboresho: Soma hapa PGO ya Polisi ya Kiswahili na Kiingereza

0
123
Police General Orders (PGO) ni nini?

Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa yeyote wa polisi anapotekeleza majukumu yake, mfano kumkamata mtuhumiwa, lazima azingatie PGO na sheria nyingine za nchi.

Hapa chini ni nyaraka hiyo muhimu katika utendaji kazi wa jeshi la polisi.

PGO ya lugha ya Kiswahili

PGO kwa lugha ya Kiingereza