Machaguo spesho yenye ODDS kubwa Meridianbet

0
33

Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia. Kesho Ijumaa ni mechi za mzunguko wa pili Wales vs Iran, Qatar vs Senegal, Uholanzi na Ecuador na Uingereza na Marekani. Beti sasa na Meridianbet kwa kuchagua ushindi wako na machaguo spesho kwaajili yako.

 

 Alhamis 24 Novemba 2022

 Ni mechi za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi huku tukishuhudia maajabu yakitokea kwa baadhi ya timu ambazo wengi walizipa nafasi lakini zikapoteza. Rejea kwa Argentina na Ujerumani wote walipoteza mchezo wao wa kwanza. Meridianbet wana machaguo spesho kwa mechi zote.

Unawaza itakuaje pale ambapo Uswizi watakutana na Miamba mingine ya Afrika Cameroon yenye mshambuliaji wao tegemezi Vicent Abubakar ambaye amepewa ODDS ya 8.80 kama atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli kwenye mechi hiyo, huku Granit Xhaka akiwa na ODDS ya 18. Hii ni mechi ya mapema sana, Beti na kitochi Meridianbet.

Unaikumbuka ile Ghana ya mwaka 2010, kule kwa Madiba ambayo ilikutana na Uruguay ya Luiz Suarez, Asamoh Gyian anakosa tuta ambalo lilibeba matumaini ya Waafrika ya kufuzu hatua ya nusu fainali, Unadhani itajirudia tena leo watakapokipiga na Ureno ya Cristiano Ronaldo.

Mchaguo spesho ni yako unaweza kuchagua mchezaji gani atafunga goli la kwanza, au muda wowote goli litafungwa na nani, au hata goli la mwisho nani atafunga. Na ukishindwa kabisa unaweza kubeti idadi ya kadi za njano kwa timu husika.

Wakati unawaza ni wapi utapata pesa ya kodi, au mangi anakudai, njia rahisi ya kufanya ni kubeti meridianbet kwenye mchezo huu mkali Brazil vs Serbia. Usiwaze chaguo spesho linaweza kuwa ni mchezaji gani atapiga nyingi, nani atapiga mashuti mengi, ni Brazil au Serbia atakuwa na pasi nyingi kuliko mwenzake. Mechi hii ina ODDS kubwa na bomba Meridianbet. Beti hapa.

 

Ijumaa 25 Novemba 2022

Baada ya kupoteza kwa mabao 2-0 mbele ya Uholanzi, Senegal itarudi tena dimbani kukipiga na mwenyeji Qatar. Pale Meridianbet kuna machaguo spesho ya aina zote, ukiona umeshindwa kabisa kutabiri nani atashinda, fanya hivi beti hata mchezaji gani atapiga mashuti yaliyolenga goli mangapi, au nani atafanya tackling, hiyo haitoshi unaweza ukarahisiha mambo kwa kubeti nani atatoa pasi ya goli. Zote hizi zina ODDS kubwa.

Uingereza ilitoka kumpiga Iran goli 6-2 inakutana na Marekani, mchongo wa meridianbet uko kijanja sana, ukibeti idadi ya wachezaji watakao fanyiwa mabadiliko unakula hela, au idadi ya kona ni ngapi kwa kila timu, nani atafunga goli la kwanza na la mwisho kama ni Rashford Marcus ana ODDS ya 5.60 au kama unahisi atafunga Jude Bellingham ana ODDS ya 14. Unasubiri nini? Bonyeza hapa kuona machaguo mengi spesho.

Mechi nyingine ni kati ya Uholanzi na Ecuador wote wana alama 3 walishinda michezo yao ya kwanza, unahisi matokeo ya mwisho yatakuaje? Jibu lako kaliweke Meridianbet.

Pia Meridianbet wana michezo ya kasino mtandaoni ambayo ni maalum kwa ajili yako Gwiji la michezo hiyo, Jikadilie kiwango chako cha ushindi kwenye mchezo wa Roulette na Poker au kuwa Rubani wa Maisha yako kwenye mchezo wa Aviator.

 

 

Send this to a friend