Mafuriko ya Zawadi Yamwagika Meridianbet

0
25

Meridianbet Yaamua kuwapatia wateja wake zawadi kabambe baada ya promosheni ya kubashiri bila bando na michezo ya kasino. Huku Said akijinyakulia Bodaboda yake mpyaa.  Piga *149*10# Chagua Tukupe Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette– Chagua Tukupe.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Martina Nkurlu alishiriki zoezi la kuwakabidhi wateja hao zawadi zao, huku akiwataka kuendelea kubashiri na Meridianbet ambao wanakwamba CHAGUA TUKUPE, kila utakachochagua wao wanakupatia. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Leo hii tunawakabidhi wateja wetu zawadi zao, kuna Bodaboda, TV inch 50, na wengine waliweza kujishindia Simujanja kupitia promosheni ya Kasino ya Mtandaoni, niwaombe wale wote ambao hawajaichagua Meridianbet basi wabashiri sasa nasi hakika tumejipanga kuwapatia huduma za kifalme zaidi”. Martina Nkurlu.

Hata hivyo Mshindi wa Bodaboda Mpya Ndugu Said hakuificha furaha yake pale alipooneshwa funguo ya chombo chake, na ndio hapo akabainisha mipango yake ijayo kwa Chombo hicho. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Kwanza kabisa siamini macho yangu kama leo hii mimi nimeshinda Bodaboda hii, kweli Meridianbet hamna Mbambamba hata kidogo.

“Binafsi mimi nimeichagua Meridianbet kwakua mna machaguo mengi, odds kubwa lakini cha Zaidi ni kwamba hamchelewi kulipa pesa pindi mtu anaposhinda, yaani mechi zinapoisha tu pale, na mpunga (Pesa) inaongia muda huo huo”-Said

Aidha washindi hawa walikuwa ni wa Promosheni za aina mbili, Kwa njia ya bashiri na kitochi bila bando ilitolewa Bodaboda, Lakini pia kupitia michezo ya kasino mtandaoni yenye sloti pendwa Zaidi kama Aviator, poker na Roulette hata wao pia walicheza moja ya michezo hii. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Send this to a friend