Mambo 6 ya kufanya kujiokoa jengo linapoungua moto

0
46

Mara nyingi ajali za moto zinapotokea watu hupoteza maisha au kupata majeraha mbalimbali kutokana na kutofahamu mambo ya kufanya kujiokoa pindi jengo walilomo linapoungua moto.

Swahili Times kupitia Smart Knowledge tumekuandalia mambo sita ambayo unapaswa kufanya ili kujiokoa kwenye ajali za moto.

Usisahau kusambaza ujumbe huu ili kuwafikia watu wengi zaidi kuweza kuokoa maisha yao.

Send this to a friend