Manabii 8 wafariki kwa kuzama mtoni katika shindano la kuchagua Mbatizaji

0
40

Manabii wanane wa Vadzidzi VaJeso Apostolic Sect wamefariki baada ya kuzama katika Mto Mazowe, mjini Harare nchini Zimbabwe wakati wakishinda kutoa ‘fimbo takatifu’ katika kina cha maji ikiwa ni njia ya kuchagua Mbatizaji.

Mamlaka katika eneo hilo imeeleza kuwa wote waliofariki ni wanaume na tayari miili yao imeopolewa kutoka kwenye mto huo.

Kundi hilo lilikuwa na ‘Manabii’ 10, na kati yao wawili tu ndio waliopona.

 

Send this to a friend