
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni jijini Dodoma Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2021/22, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isidor Mpango.