Matajiri 10 wakongwe zaidi Afrika

0
76

Mabilionea wa Afrika wanawakilisha siyo tu utajiri wao ndani ya bara hili, bali pia nguvu ya ujasiriamali na ubunifu ambayo imekuwa ikichochea ukuaji wa uchumi katika sekta tofauti.

Watu hawa wamejenga utajiri wao na kuchangia katika maendeleo ya nchi zao na bara la Afrika kwa ujumla.

Mabilionea hawa wengi wamekuwa kwenye njia ya mafanikio kwa miongo kadhaa. Wamefanikiwa kubaki na kuongeza utajiri hata kabla ya kuzaliwa kwa vizazi vingine vinavyowaangalia kama mifano.

Mabilionea 10 wenye umri mdogo zaidi Afrika

Leo hii, wao ni baadhi ya watu matajiri zaidi barani Afrika, licha ya umri wao mkubwa.

Hawa ni mabilionea 10 wenye umri mkubwa zaidi barani Afrika, kulingana na jarida la Forbes;

Send this to a friend