Matokeo ya kidato cha sita na ualimu mwaka 2021 yaliyotangazwa leo

0
40

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), Dkt. Charles Msonde ametangaza matokeo ya mtihani wa  kidato cha sita uliofanyika Mei 2021 na kueleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 0.11 ikilinganishwa na mwaka 2020.

Dkt Msonde amesema hayo leo visiwani Zanzibar na kuongeza kuwa ubora wa ufaulu umeimarika kwa asilimia 0.19 kutoka asilimia 97.74 mwaka 2020 hadi asilimia 97.93 mwaka huu.

Bonyeza viungio hapa chini kutazama matokeo hayo.

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE)

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE)

MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE)

Shule 10 bora mtihani wa kidato cha sita 2021;

  1. Kisimiri (Arusha)
  2. Kemebos (Kagera)
  3. Dareda (Manyara)
  4. Tabora Girls (Tabora)
  5. Tabora Boys (Tabora)
  6. Feza Boys (DSM)
  7. Mwandet (Arusha)
  8. Zakia Meghji (Geita)
  9. Kilosa (Morogoro)
  10. Mzumbe (Morogoro)
Send this to a friend