MBASHARA: Rais Samia Suluhu akipokea taarifa ya CAG 2020/21 na Ripoti ya TAKUKURU

0
45

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ambapo leo Rais Samia Suluhu Hassan anapokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/2021.

Aidha, Rais Samia Suluhu atapokea pia ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Send this to a friend