Mbashara: Rais Samia Suluhu akiwaapisha mawaziri na viongozi wengine aliowateua

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma ambapo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua karibuni.