Mbashara: Rais Samia Suluhu akizindua kiwanda cha nguo Zanzibar

0
63

Ikiwa ni siku moja kuelekea Maazimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan yupo visiwani humo na leo anaongoza uzinduzi wa kiwanda cha nguo cha Basra Textile Mills Limited.

Kiwanda hicho cha kisasa ambacho kinatarajiwa kuzalisha nguo siku za usoni, kwa sasa kinazalisha vitambaa tu.

Fuatilia matangazo hayo hapa chini. Pia usisahau ku-subcribe ili kupata matukio yote muhimu kwa wakati.

Send this to a friend