Mbashara: Rais Samia Suluhu akizungumza na viongozi wa Machinga

0
74

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam na viongozi wa Machinga.

Mazungumzo hayo yanayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam yamekuja siku moja baada ya Rais Samia kuwaruhusu Machinga kurudi na kuendelea na biashara katika Soko la Karume.

Send this to a friend