Mbinu rahisi za kuzuia viatu kutoa harufu mbaya

0
96

Usafi humfanya mtu ajisikie vizuri na huru, kama viatu vyako vinatoa harufu mbaya, vitakufanya usijikie huru na muda mwingine kukupa wasiwasi pindi utakapolazimika kuvua viatu vyako mbele za watu.

Watu wengi hupatwa na adha hii na wengine hushindwa namna ya kulitatua, si kwa wanaume wala wanawake ilihali viatu vimevaliwa kwa muda mrefu au kuvaliwa mara kwa mara bila kubadilishwa, vinaweza kuwa na harufu mbaya.

Swahili times inakupa mbinu rahisi za kuzuia viatu vyako visitoe harufu mbaya.