Mechi Kali, Odds Kubwa Meridianbet

0
47

Wikiendi hii ni ya kibabe Zaidi ikisindikizwa na Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet, ni FA Cup, Serie A, La Liga, Ligue 1 na Bundesliga zote kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Jumamosi na Jumapili.

LALIGA ya moto sana, Barcelona kinara kwenye msimamo atakuwa ugenini dhidi ya Girona, ikumbukwe mchezo uliopita wa Barca alipata ushindi mwembamba. Wakati huo Sevilla akiwa na hali mbaya kwenye msimamo wa ligi nafasi ya 15 na alama 18, atamkaribisha Elche kibonge wa Ligi mwenye pointi 6 tu.

Wapinzani wakubwa wa Barca, Real Madrid wanahitaji ushindi dhidi ya Real Sociedad waongoze ligi kwa tofauti ya magoli endapo vijana wa Xavi watapoteza mchezo wao. Odds za Meridianbet Madrid ana 1.68 kwa 4.80 ya Sociedad.

Jurgen Klopp mwenye msimu mgumu atakutana na Brighton kwenye mchezo wa FA Cup huku mechi ya kwanza alipoteza kwa bao 3-0. Liverpool ana odds ya 2.45 dhidi ya 2.55 ya Brighton. Suka mkeka wako na Meridianbet.

Wababe wa Bundesliga Bayern Munich watashuka kwenye dimba lao la Allianz Arena, kukipiga na Frankfurt aliyepo nafasi ya 4 kwenye msimamo huku Bayern ndio vinara kwa alama 36. Bayern Leverkusen watakutana na Dortmund mechi hii ina odds ya 2.43 dhidi ya 2.65. Bashiri kibingwa na Mabingwa wa Odds bomba.

Serie A ya Italia itarindima Napoli watakapo wakaribisha vijana wa Jose Mourinho, ni bonge moja la mechi hili ambalo usipolibetia pale Meridianbet utajilaumu sana, kwani imepewa odds bomba na kubwa kipita kawaida. Bonyeza hapa kuziona.

Lazio wataumana na Fiorentina wakati ambao timu zote zikihitaji matokeo ya alama tatu, wewe ushindi wako upo Meridianbet pekee, ukitembelea maduka yao ya kubashiri unaweza kuonesha ubabe wako wa kubashiri,

Itakuaje pale ambapo PSG yenye wachezaji wakubwa wenye viwango vya dunia watakapo kutana na Reims na kupoteza? Usijali huu mchezo yeyote aliyejipanga anaweza kuondoka na matokeo mazuri, wakati unaweka mkeka wako Meridianbet zingatia kuwa PSG ana odds bomba ya 1.29 na Reims ana 8.42 Jiunge na Meridianbet ufurahie ulimwengu wenye odds bomba na kubwa, huhutaji kupimiwa Meridianbet ni unajichotea tu miodds kibao.

Send this to a friend