Mechi kali wiki hii, Meridianbet wamejipanga kutoa mpunga

0
43

Shughuli itaanzia Ijumaa kwenye epl ni Brentford watakipiga dhidi ya Brighton kwenye raundi ya 11, huku kwenye Ligue 1 raundi ya 11 itawakutanisha Strasbourg watakichafua na Lile halafu sasa Laliga mchezo wa raundi ya 9 itawakutanisha Vallecano dhidi ya Getafe. Meridianbet wamejipanga kumwaga mpunga kwako, tandika jamvi lako.

Epl itakuwa na michezo 4 kwa siku ya Jumamosi, Leicester City watakutana na Crystal Palace ni mechi ya mapema sana majira ya saa 14:30, pia Wolves ambao wameshinda mechi moja tu kwenye epl, sare 3 na kapoteza mechi 5, atakipiga na Nottingham Forest ambaye ameshinda mara 1, sare 2 na kapoteza mechi 6. Tottenham wataingia uwanjani wakiwakaribisha Everton ambao mpaka sasa wameambulia ushindi kwenye mechi mbili tu. Bashiri na Mabingwa ili uwe bingwa.

Kwenye Laliga kule Athletic Club watawakaribisha Atletico Madrid waliotoka kuwafunga Girona bao 2-1, bila kusahau mtanange kati ya Mallorca dhidi ya Sevilla, wakati huo huo Valencia hawatakuwa shughuli nyingine zaidi ya kuwakabiri Elche kwenye dimba lao la nyumbani. Kupitia Meridianbet unaweza kubashiri lakini pia kwa USSD kwa kupiga *149*10# ukiwa na Kiswaswadu au Simujanja bila bando.

Kule kwenye Bundesliga sasa, patakuwa hapatoshi Frankfurt wanahasira unaambiwa za kupigwa goli 3 kwa mtungi na Bochum, Basi shughuli haitakuwa rahisi watakapokutana na Leverkusen ambao walimtwanga 4-0 Schalke 04. Mechi ina ODDS kubwa na machaguo zaidi 1000+ kwenye Meridianbet.

Jumapili sasa Embu fikiria Man utd watakapokutana na Newcastle ni bonge moja la mechi hili, unaweza kubashiri matokeo yatakuaje kule Meridianbet, Leeds watawakaribisha Arsenal ambao wanaongoza ligi mpaka sasa, Chelsea watalazimika kuwafuata Aston Villa ya Steven Gerrard.

Baadae sasa ndiyo usipime pale kwenye jiji la Liverpool uwanja wa Anfield vijana wa Kloop watakuwa na jambo lao dhidi ya vijana wa Pep, yaani ni Liverpool na Man City, ni Haaland kuendeleza moto wake au Salah na Firmino watakuwa mashujaa wa Majogoo hao? Bashiri ukiwa na Meridianbet.

Laliga ndiyo usipime moto utawaka, nyasi zitaongea pale ambapo
Vinicious Jr, Benzema watakapochuana na Lewandowski, De Jong, Dembele kwenye EL Classico, Madrid anaitaka nafasi ya kwanza na Barca wanataka kuendelea kuongoza Ligi, What a Match..? Meridianbet wana mzigo wako hapa, bashiri sasa.

Ule moto wa wapinzani wakali pale Ligue 1, ni PSG atakayekuwa nyumbani kukipiga na Marseille, nyasi za dimba la Le Parc des Princes zitawaka moto. Meridianbet wapo na wewe, bashiri sasa.

Hauna Smartphone au unataka kubet na hauna bando..? Usiwaze sasa unaweza kubashiri kwa kutumia USSD piga *149*10# kisha utandike jamvi lako kirahisi.

Ni wiki yenye mechi kali, Epl Liverpool VS Man City, lakini EL Classico moto utawaka, chama lako linacheza na nani wiki hii. Hakikisha umetandika jamvi lako lenye Odds kubwa za ushindi ukiwa na Meridianbet kwa kupiga *149*10# au kupitia tovuti https://app.mrdn.co/bashiri01 ili kuweka ubashiri wako sasa! #bashirinamabingwa #meridianbettz  #epl #serieA #ligue1 #laliga #bundesliga

Ni wiki yenye mechi kali, Epl Liverpool VS Man City, lakini EL Classico moto utawaka, chama lako linacheza na nani wiki hii. Hakikisha umetandika jamvi lako lenye Odd kubwa za ushindi ukiwa na Meridianbet kwa kupiga *149*10# au kupitia tovuti https://app.mrdn.co/bashiri01 ili kuweka ubashiri wako sasa! #bashirinamabingwa #meridianbettz  #epl #serieA #ligue1 #laliga #bundesliga

 

Send this to a friend