Mechi za Uropa Leo Meridianbet Zina Odds Kubwa

0
23

Kama hujapokea Zawadi yako ya Valentine Day, usijali Meridianbet wanakupa zawadi yenye Odds kubwa na bomba kwenye Ligi ya Uropa na Europa Conference League zote zitaendelea kwa siku mbili Alhamisi na Ijumaa, mechi kubwa ni FC Barcelona vs Manchester Utd. Jiunge na Meridianbet upate odds kubwa, lakini pia kasino ya mtandaoni yenye michezo kama Poker, Aviator, Roulette na michezo mingi ya Sloti.

Alhamisi ya Kibabe

Wakali wa kasino ya mtandaoni na michezo ya kubashiri Meridianbet wamejitoa Zaidi wiki hii, kwa kuongeza ODDS kubwa na bomba kwenye mchezo mkali wa Uropa FC Barcelona wakiwa kwenye dimba lao la machinjioni Spotify Camp Nou wakiwaalika Mashetani wekundu Manchester Utd. Hii mechi unaona ikiishaje? Weka ubashiri wa matokeo kwenye Meridianbet.

Mchezo mwingine mkubwa utapigwa huko Ujerumani kwenye dimba la Red Bull Arena ni RB Salzburg dhidi ya vijana wa Jose Mourinho AS Roma kutoka Italia. Meridianbet wametoa Odds kubwa za ushindi kwa timu zote 2.85 ya Salzburg kwa 2.50 ya Roma, unaziachaje hizi odds kubwa zikupite.

Bayern Leverkusen nao watajiuliza maswali Zaidi pale watakapokutana na Monaco, wakati makocha wa timu zote mbili wakishindana kwa mbinu uwanjani, nakushauri kuwa kocha wa mchezo huu pale Meridianbet ukiweka utabiri wako, na kama hupendi soka kuna michezo mingi ya sloti na kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Aviator, Roulette na mingine mingi. Bonyeza hapa kuona machaguo mengi.

Kutoka nchi kubwa yenye moja ya Ligi pendwa na ikiongoza kufuatiliwa Zaidi duniani La Liga, Sevilla ya Hispania watakuwa wenyeji wa PSV kwa Odds kubwa na bomba jiunge na Meridianbet upate machaguo mengi na uweze kubashiri Mubashara mechi zote.

Na kama unajiuliza ni chaguo gani bora kwa sasa Meridianbet ukichagua kubashiri mubashara, kuturbo au G-G, kila timu ipate ushindi wa magoli au wa moja kwa moja, mchezo kati ya Juventus ambao hawako kwenye kiwango bora Zaidi kwa sasa watacheza na Nantes, huku Ajax ni wenyeji wa Union Berlin ambao wanashika nafasi ya pili kwa utofauti wa alama 1 dhidi ya mabingwa watetezi wa Bundasliga Bayern Munich, lakini hay ani mashindano mengine kila timu na mipango yake.

Michezo ya UEFA Europa Conference League itachezwa ni Lazio vs CFR Cluj, Qarabag vs Genk, Sherrif Tiraspol vs Partizan na mechi nyingine kubwa san ani kati ya SC Braga dhidi ya Fiorentina, odds zao ni 2.50 vs 2.74 kila timu ikishinda.

Bado nakukumbusha kama wewe sio mpenzi wa kubashiri Mubashara Soka, Meridianbet wanakujali na kukupatia michezo mingi ya Sloti kutoka kasino ya mtandaoni ambayo ni rahisi kucheza na kushinda, miongoni mwa michezo hiyo rahisi kushinda ni Poker, Aviator, Roulette na Pia Premium.

 MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE!

Send this to a friend