Meridianbet Kasino ya Mtandaoni Yaja na Kitu kipya  

0
39

Sloti ya Forest Rock

Kasino ya mtandaoni ndani ya Meridianbet inakuja na sloti ya maudhui haya kitaalamu tunaita Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na wakali wa michezo ya kasino Expanse Studio Mchezo Sloti hii imetawaliwa na Wanyama wa mwituni kama Sungura, Dubu, Simba mpiga ngoma, Tembo itakuaje pale ambapo Wanyama hawakupatia ushindi mpaka mara 20 ya dau lako. Tembelea www.meridianbet.co.tz uingie mchezoni. Lakini kabla ya kuingia mchezoni fuata maelekezo haya ya kuucheza mchezo huu ili iwe rahisi kushinda.

Leo nataka nikwambie kuwa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekuja na Sloti ya Wanyama kama Sungura, Simba, Dubu na Tembo wote wakiwa na jukumu moja tu la kukuburudisha na kukupa ushindi.

Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.

Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja, Simba ni bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo na ushinde.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.

Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.

 

 

Send this to a friend