MERIDIANBET NI BANDIKA BANDUA NA SASA NI KWA WAKAZI WA SINZA, WALETEWA DUKA JIPYA LA KUBETIA

0
39

Je wewe ni mkazi wa Sinza? Wanapopatikana Watu Wajanja? Na unapenda kubashiri kwenye maduka?. Basi Meridianbet leo hii wamekuzindulia duka kubwa kabisa ambalo unaweza ukabashiri maeneo ya hapo Madukani.

Duka hilo lipo Sinza Madukani hivyo fika na uanze kutoa mkeka wako kwa ODDS KUBWA zenye machaguo zaidi ya 1000, hivyo ni rahisi kwako wewe kuchagua kipi unataka nao wanakupatia kama ulivyotaka. Lakini pia duka hilo litatoa huduma ya kubashiri mubashara bila kusahau michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Aviator, Roulette, Sloti, Dog Race na mingine mingi.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Ndugu Matina Nkurlu amesema kuwa duka hilo ni kwaajili ya watu wa Sinza na nje ya eneo hilo ambao wanahitaji kubeti kwani uhitaji wa duka ulikuwa mkubwa sana hivyo wameamua kuzindua duka hilo kuwarahisishia wateja wao wanaopatikana hapo. Sio Mpira wa miguu tuu, bali kuna michezo kadhaa ambayo wanaweza kubashiri ikiwemo Mpira wa kikapu, Tenisi, Mpira wa Wavu na mingine mingi.

Lakini pia Mkuu wa Kitengo alikazia kuwa; “Kwenye duka hilo, si mpira wa miguu tu ambao utabashiri bali kuna wale wanaopenda michezo ya Kasino wataweza kubashiri kwa urahisi na sio mpaka waende kwenye Kasino ndipo wabeti, lakini hiyo haitoshi mpaka mashine za kubetia tumewaletea “ Nkurlu.

Duka hili la Meridianbet ni moja ya maduka makubwa yaliyopo kwenye jiji la Dar es Salaam ambalo lina huduma nyingi kama vile Kubeti mechi za mpira Mubashara, michezo ya keno, Sloti mashine kama American Poker n.k tembelea tovuti ya meridianbet kubashiri michezo mingi www.meridianbet.co.tz

MERIDIANBET, CHAGUA TUKUPE

Send this to a friend