Meridianbet Odds kubwa za Ligi ya Mabingwa

0
41

Linapokuja sula la kutoa odds kubwa Meridianbet Hawana mbambamba! Tukielekea usiku wa mabingwa Ulaya kamata odds kubwa ndani ya Meridianbet, mabingwa wa ODDS kubwa na Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoa machaguo kibao, takwimu za kila timu na odds kubwa. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

ODDS kubwa za Jumanne 21/2/2023

 Huenda ukawa unajiuliza sana Vijana wa Jurgen Klopp watafanya nini mbele ya vijana wa Carlo Ancelotti Real Madrid kwenye mchezo wa leo, kwenye mechi 6 za mwisho walizokutana Madrid ameshinda mara 5, sare 1 na Liverpool kashinda mara 1. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS kubwa ya 2.30 ushindi kwa Liver, 2.94 Madrid ashinde na sare ina 3.47, bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

Liverpool kwa sasa wameanza kurudi kwenye kiwango chao baada ya kupoteana kwa muda mrefu, lakini huenda wakamkosa Darwin Nunez kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo uliopita dhidi ya NewCastle ambapo walishinda bao 2-0.

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Frankfurt vs Napoli

Unadhani itakuaje kwenye mechi hii ya Frankfurt wakali kutoka Ligi yenye nguvu kubwa ya Ujerumani, Bundasliga watakutana na Vinara wa Serie A Napoli. Meridianbet wenye kasino ya mtandaoni na sloti pendwa za Aviator, Poker na Roulette mchezo huu wameupa odds kubwa na bomba ya ushindi 3.28 Frankufurt ashinde, 2.16 Napoli ashinde au kama unaona ngumu hiyo sare ina 3.43 lakini hiyo haitoshi Meridianbet wanakupa machaguo kibao ukibashiri mubashara kwenye duka la ubashiri la Meridianbet.

ODDS kubwa za Jumatano 22/2/2023

RB Leipzig vs Man City

 Timu hizi zimekutana mara 2 tangu mwaka 2021, na kila mmoja akishinda mara moja, Leipzig alishinda bao 2-1 na huku rekodi kubwa ya City ni ushindi mkubwa wa mabao 6-3. Wakiwa na odds kubwa ya 4.31 ushindi kwa Leipzig, 1.76 ya Man City ashinde. Kama sio mpenzi wa kubashiri soka, Chagua tukupe michezo ya kasino ya mtandaoni yenye sloti pendwa kama Aviator, Poker na Roulette. Bashiri na Meridianbet.

 Kwa mara ya kwanza walikutana mwaka 2005 ambapo mpaka sasa wamekutana mara 5, Porto ameshinda mara 1, sare 1 na ushindi kwa Inter Milan ni mara 3. Lakini Porto hajapoteza mechi hata moja kwenye michezo 22 iliyopita, huku Inter akiwa hajapoteza mchezo kwenye mechi 5 za nyuma. Mechi hii unahisi itaishaje? Majibu yako yaweke Meridianbet wakali wa Odds kubwa na Kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette. MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.

Send this to a friend