Meridianbet Yaadhimisha Siku ya Redio Duniani ITV&Radio One

0
42

Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo cha Habari cha Radio 1, Hii ni katika kuendeleza taratibu wa kurejesha kwa jamii ambapo ni utaratibu kampuni hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Katika zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Radio One na ITV, Deogratius Rweyunga ameishukuru Meridianbet kwa kutambua umhimu wa vyombo vya habari na kutoa vifaa hivyo wezeshi katika shughuli za uandishi wa habari.

“Kwetu hili ni jambo kubwa na tunafurahi kuona kampuni ya Meridianbet, imekuja kutuongezea nguvu kwenye kituo chetu tukiamini kupitia vifaa hivi tutaongeza nguvu ya utendaji kazi”

Aidha Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Martina Nkurlu alielezea namna ambavyo Meridianbet wanatambua umuhimu wa vyombo vya habari hususani Redio, na hivyo kuamua kuungana na chombo hicho kuadhimisha Siku ya Redio Duniani. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

“Leo ni siku ya Redio Duniani hivyo kwa kutambua umuhimu wa vyombo vya habari hususani Redio, kama Meridianbet tumeamua kuja hapa Radio One kuadhimisha siku hii kwa kutoa vitendea kazi kama kompyuta mpakato ili ziwasaidie katika majukumu yao ya kila siku.” Martina Nkurlu

Sambamba na hilo akiongea kwa niaba ya wanahabari wa kituo hicho mkuu wa Idara ya Habari na michezo bwana Amri Masare alisema “Kwa niaba ya kituo na uongozi wa ITV na Radio 1 napokea vitu hivi na kuwashukuru na tunatamani makampuni mengine kuiga Mfano wa kampuni hii” Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Kampuni ya Meridianbet ni moja ya kampuni kubwa Zaidi Tanzania inayofanya vizuri kwenye michezo ya kubashiri, moja ya sifa kubwa kwa Meridianbet inayopendwa na wateja wengi ni machaguo mengi Zaidi ya 1000+, Odds kubwa nabomba, kasino ya mtandaoni yenye michezo mizuri ya sloti na bonasi nyingi kwenye Kasino na michezo ya kubashiri soka. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

 

Send this to a friend