Meridianbet Yafanya Uzinduzi wa Chimbo la Kubetia-Kinondoni

0
38

Baada ya Meridianbet kufanya kama hivyo, maeneo ya Tandika mwezi uliopita safari ikahamia kwa watoto wa mjini Kinondoni mitaa ya Mwanamboka Chimbo jipya ambalo ni duka la kubashiri lilizinduliwa na wateja wote walifurahi kupata huduma nzuri, kama michezo ya soka, kucheza michezo ya sloti n.k

Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni Meridianbet wamezindua chimbo jipya la kubetia (duka la kubeti) maeneo ya Kinondoni Mwanamboka. Meridianbet pia wanatoa huduma ya kubashiri mubashara.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Ndugu Matina Nkurlu alisema kuwa duka hilo litarahisha shughuli zote za kubeti kwa wateja wa maeneo hayo na maeneo jirani na hivyo michezo mingi inapatikana ukiachana na kubeti soka, wateja watapata fursa ya kucheza mashine za sloti zenye michezo pendwa kama American poker, the money game, Sizzling Hot, Book of Era n.k, lakini pia Meridianbet ni wakali wa ODDS kubwa na bomba kwaajili yako.

“Kwenye duka hili ukiachana na kubeti mpira na kucheza keno, lakini pia wateja wetu watapata faida ya kucheza michezo ya sloti safi huhitaji kwenda kasino kila kitu unamalizia humu humu.” Nkurlu

“Meridianbet hatubagui chochote anachotaka mteja wetu tunampatia, mlitaka kubeti mpira na mechi za ligi nyingi ikiwemo ya Tanzania bara tumewapatia, tumeona haitoshi tumewaletea mashine za sloti zenye michezo mizuri na rahisi kullshinda ndio maana tunasema MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.”

Duka hili la Meridianbet ni moja ya maduka makubwa yaliyopo kwenye jiji la Dar es Salaam ambalo lina huduma nyingi kama vile Kubeti mechi za mpira Mubashara, michezo ya keno, Sloti mashine kama American Poker n.k tembelea tovuti ya meridianbet kubashiri michezo mingi www.meridianbet.co.tz

Send this to a friend