Meridianbet Yamwaga Reflector kwa Bodaboda

0
33

Usafiri wa Bodaboda kwa mkoa wa Dar Es Salaam ni moja kati ya huduma inayotumiwa na wakazi wengi, lakini suala la usalama wao ni jukumu la kila mdau na hapo ndipo Meridianbet ilipoguswa na vijana hawa ambao wanatafuta riziki kwa tabu na kuwapatia Reflector ili kuwasaidia kwenye utafuta wao. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu aliyeambatana na timu ya masoko kutoka Meridianbet aliongoza zoezi hilo ambalo alilipa jina la Meridianbet Chagua Tukupe, na siku ya Alhamis 09/2/2023 walichagua kuwapa Bodaboda Reflector za kuvaa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

“Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflector hizi maalum kwaajili yao kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi”-Matina Nkurlu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Aidha kwa upande wa wanufaika wa mchango huo kutoka Meridianbet ambao ni madereva wa Bodaboda hawakusita kuonesha furaha yao na shukrani zao za dhati kwa kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri inayotoa ODDS kubwa na Machaguo zaidi ya 1000+  Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

“Tunaishukuru sana Meridianbet kwa kutupatia hizi Reflector zitatusaidia kwenye shughuli zetu za kutafuta kipato cha kila siku, lakini pia tupende kuwapongeza kwa kutupatia huduma bora za kubeti kama vile odds kubwa, machaguo mengi, ukitaka kuturbo (cash out) mkeka wako ambao unao unaenda kuchanika ni rahisi” Mteja wa kubeti.

Huu ni moja kati ya utamaduni wa Meridianbet kushirikiana na jamii katika kuendeleza juhudi zao, kutoa misaada, na kuchangia pale inapohitajika kufanya hivyo, kutoa ni moyo sio utajiri kwa kuutumia msemo huu Meridianbet wamekuwa wakishiriki kikamlifu kwenye masuala ya kijamii. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Send this to a friend