Meridianbet Yawafikia Wakazi wa Vingunguti

0
17

 

Hodi Hodi Hodi Vingunguti, ndivyo walivyoanza walipoingia katika duka hilo jipya ambalo wamezindua pale Vingunguti kituo cha relini. Kampuni ya Meridianbet ilifika eneo hilo na kubisha hodi mara tatu huku wakitaka wakazi wa eneo hilo kuitikia kwani walikuwa wamekuja kwaajili yao na mambo mazuri pia.

Na si kingine ambacho walichokuja nacho Meridianbet bali ilikuwa na kuzindua duka eneo hilo ili kuwarahisihia wale ambao hutumia kampuni hiyo kufanya ubashiri lakini vile vile na wale ambao hawatumii kampuni hiyo waanze kuvutiwa nayo wajisajili na wafanye ubashiri hapo.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo, mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet, Martina Nkurlu amesema kuwa, “Meridianbet Tanzania tunayo furaha kuendelea kuwapa nafasi wakazi wa Jiji la Dar es salaam kuendelea kujipatia huduma bora za michezo ya kubarishi. Duka hili limesheheni michezo mbalimbali ya kubashiri na ya kimataifa zaidi kwani tumewaboreshea wateja wetu kwa kuwaletea mashine bora toka Ulaya na kuwawekea mazingira rafiki zaidi dukani hapa.”

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.

 

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa  Meridianbet wanajali thamani na ubora wa vifaa na mashine za kubashiria wateja wao na sasa wamesogeza huduma hizo hapo vingunguti relini. ODDS KUBWA unazipata hapa Meridianbet lakini pia kuna machaguo mengi zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

 

Send this to a friend