Meridianbet Yawaunga Mkono Jeshi la Polisi

0
45

Kampuni ya Meridianbet kila iitwayo siku hufikiria watafanya nini kwaajili ya kuwaunga mkono wanaanchi ambapo hii leo wamefika eneo la kawe ambapo linapatikana jeshi la polisi na kuweza kutoa Reflector kwa polisi wa usalama barabarani, huku Refletor hizo zikipokelewa na mkuu wa kitengo hicho SP-Shatta OCD ndiye aliyepokea vifaa hivyo.

Meridianbet hurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii huku wakielewa umuhimu wao na mahitaji yao kila siku huku safari hii waliamua kuwamulika polisi Kawe huku wakijua kuwa vitawasaidia kwenye shughuli zao za kila siku.

Baada ya kupokea Reflector hizo ASP Rose Maira amesema; “Niwashukuru wenzetu wa Meridianbet kwa kutuletea msaada huu utakaosaidia Askari katika kutimiza majukumu yao bila uoga hata usiku kwa sababu watakua wanaonekana, katika kuelekea kilele cha wiki ya nenda kwa usalama barabarani msaada huu umekuja muda muafaka”.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na mawasiliano Meridianbet Martina Nkurlu amesema kuwa “Tulikuja wiki iliyopita hapa kutoa Reflector kwa bodaboda lakini tukaona hata Askari wetu wa usalama barabarani wana changamoto hii, leo tukaamua na wao kuwaletea msaada huu tukiamini katika juhudi zao za kulinda usalama barabarani katika Serikali hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea jeshi la Polisi Kawe  na kuwapa Reflector kwaajili ya matumizi yao wakiwa barabarani.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Send this to a friend