Meridianbet Yazindua Duka la Kubetia Kariakoo Fire

0
36

Meridianbet wamepiga hodi mtaa wa Kariakoo Fire na wamekuja kwaajili yenu wanahitaji muwapokee kwa shangwe na safari hii mambo ni moto sana ndani ya mwezi mmoja wamezindua maduka manne ya ubashiri sasa kwanini wasitue na Kariakoo. Duka litakidhi mahitaji wa wateja wa Meridianbet ambao wanahitaji kubeti.

ODDS ni kubwa na machaguo mengi kazi wanakuachia wewe mteja wao uchague kile ambacho unaona kinakufaa. Michuano mbalimbali ya mataifa yanaendelea na ODDS zao ni kubwa sana ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.

Send this to a friend