Miji 10 Afrika yenye gharama kubwa zaidi ya kuishi

0
48

Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na  ambao unaishi sasa katika nchi yako?

Makala hii inaangazia miji 10 barani Afrika yenye gharama kubwa zaidi ya kuishi ambapo inalinganisha gharama za mahitaji ya msingi kama vile chakula, mavazi, burudani, afya, usafiri na elimu katika nchi mbalimbali za Afrika.

Takwimu kutoka ripoti ya Statista zimetumika kuipata miji 10 Afrika yenye gharama kubwa sana ya kuishi. Ifahamike kwamba ukotoaji wa gharama za kuishi haujahusisha gharama za kodi za kupanga.

• Addis Ababa: Mji Mkuu wa Ethiopian .

• Abidjan: Mji Mkuu wa Ivory Coast

• Harare: Mji Mkuu wa Zimbabwe

• Johannesburg: Mji wa kibiashara wa Afrika Kusini.

• Pretoria: Moja ya Miji Mikuu mitatu ya Afrika Kusini.

• Gaborone: Mji Mkuu wa Botswana.

• Cape Town: Mji kutoka Afrika Kusini

• Accra: Mji Mkuu wa Ghana.

• Marrakech: Mji wa kitalii kutoka Morocco.

• Windhoek: Mji Mkuu wa Namibia.

Send this to a friend