Barani Afrika, mamilioni ya watu hususan vijana wamekuwa wakihama kutoka maeneo ya vijijini kwenda mijini kwa kasi kubwa kutafuta fursa mbalimbali pamoja na hali bora ya maisha.
Wakati miji hii inakua, kuimarika kwa kiwango cha maisha cha wakazi wake ni jambo muhimu zaidi.
Moja ya vigezo muhimu katika kufikia lengo hili ni maendeleo pamoja na kufikia kiwango cha ubora wa maisha ambayo yanajumuisha mambo mbalimbali ikiwemo huduma za afya, elimu, miundombinu, usalama, fursa za ajira, ubora wa mazingira, na umoja wa kijamii.
Nchi 10 za Afrika zenye miundombinu bora ya barabara
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na tovuti ya Business Insider Africa, hii ni miji yenye ubora wa juu wa maisha barani Afrika;
1. Cape Town (Afrika Kusini)
2. Pretoria (Afrika Kusini)
3. Durban (Afrika Kusini)
4. Johannesburg (Afrika Kusini)
5. Nairobi (Kenya)
6. Cairo (Misri)
7. Lagos (Nigeria)