Mpangilio sahihi wa vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania

0
171

Jeshi la Polisi nchini Tanzania lina jumla ya ngazi 14 za vyeo, cha juu zaidi kikiwa ni Inspekta Jenerali wa Polisi huku cha chini kikiwa ni Kostebo wa Polisi.

Kwa mujibu wa tovuti ya jeshi hilo, hapa chini ni mpangilio sahihi vye vyeo hivyo kutoka kikubwa zaidi kwenda kidogo.

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP)

Kamishna wa Polisi (CP)

Kaimu Kamishna wa Polisi (DCP)

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)

Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP)

Mrakibu wa Polisi (SP)

Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP)

Inspekta wa Polisi (INSP)

Inspekta Msaidizi wa Polisi (A/INSP)

Meja Sajenti wa Polisi (RSM)

Sajenti wa Polisi (SP)

Koplo

Konstebo wa Polisi